2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Makocha wengi wanazingua...wanaleta ujuaji...
Ndio maana Salah karudi zake Liverpool
 
afu kitu kibaya haya ni menyeji
Ndicho nilichosema hata mimi hapa nilipokuwa naangalia.


Kuna huu sijui ndio right winga sijui left, alikuwa anajituma kweli, ila wenzie sasa hakuna wa kumalizia.

Mabeki wanakimbia kama Wana funza miguuni.. mipumbavu kabisa
Hii mibeki ilitakiwa icharazww fumbo nne nne
 
Taifa stars wanatakiwa wajifunze kupitia equatorial guinea jinsi ya kupanga tofali na kushambulia kwa akili !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…