Hawana hiyo nafasi.. Ghana ana point 2... Ivory coast Wana points 3..Ivory coast na Ghana wana nafasi ya kufuzu 16 bora, bado hawajafungasha. virago.
Jamani hii ndoto umeota usiku wa manane au karibu panakucha hahaha [emoji38]Nimeota Tanzania ikiifunga Congo 1- dakika za mwisho kabisa baada ya mchezo mgumu sana, na Zambia ikifungwa na Morocco 1-0 dakika za mwanzoni tu. Hivyo Tanzania ikaingia robo fainali
Ivory coast ni tanzania watupuWakina nani hao?
Wacha kukariri. Elewa maana ya best looser haimaanishi uwe na points 4. Angalia msimamo wa makundi na fixtures halafu uone kama hakuna huo uwezekano wa Ghana na Ivory coast kuwa best looser.Hawana hiyo nafasi.. Ghana ana point 2... Ivory coast Wana points 3..
Kimsingi ili upite best loser walau uwe na point 4
Acheni ramli.
Tena nafasi ya 2.
Ila Mafarao baada ya kupita hapo atakayekutana nae kazi anayo.
Wacha kukariri. Elewa maana ya best looser haimaanishi uwe na points 4. Angalia msimamo wa makundi na fixtures halafu uone kama hakuna huo uwezekano wa Ghana na Ivory coast kuwa best looser.
Ni sawa tu wametoka, angeshinda maana yake egypt tungemkosaGhana imekuaje ten mbn gafla 🤣🤣🤣
Me nawashangaa hao wanaoisifia iyo cape verde cjui uwo ubora wao upo wapi ni kikosi cha kawaida tu kwa kweli
Wametoka kivipi? Group C.Ghana na Ivory wameshatoka, kwangu nimefurahi sana
Kuna watu wamepewa nafas wanataka kumuonyesha kocha kwamba na sisi tunastahili kúanza first 11Hawa Cape Verde ni team hatr sana.
Imagine washafuzu hata kama wakifungwa leo lkn ww angalia soka wanalocheza.
Kwann watz tusicheze kwa moyo hiviKuna watu wamepewa nafas wanataka kumuonyesha kocha kwamba na sisi tunastahili kúanza first 11
mjomba unahisi ivory coast ata akipita atafanya kitu Gani cha ajabu zaidi zaidi atabondwa kipigo cha mbwa koko huk mbele ya safariWametoka kivipi? Group C.
Cameroon vs Gambia wakitoka draw
Cameroon atakuwa na point 2 gambia 1 .Kibest looser watazidiwa na ivory coast mwenye points 3 pia Cameroon atazidiwa na Ghana kwa GD.
Group D. Algeria akishinda dhidi ya Mauritania maana yake kutakuwa na best looser mmoja tu kwenye hilo group sababu Mauritania atakuwa na points 0.
Group E
South Afrika akimfunga Tunisia maana yake hilo group litakuwa na best looser mmoja tu sababu Tunisia atakuwa na point 1.
Group F
Taifa stars wakifungwa , Zambia akifungwa zaidi ya goli 1 kibest looser watazidiwa na Ivory coast mwenye points 3 na Zambia atazidiwa na Ghana kwa GD.
Sasa unaposema wameshatoka unaangalia vigezo gani?
Pole sana mkuuTimu yangu pendwa ya Ghana imeondoka
Nimebaki na Egypt
Nimeanza kuwapenda cape verde
Come on pharaoh
Hao Verde sio kwamba wanacheza kwa moyo tu Bali wanaujua mpira pia, watz siku zote wanacheza kwa moyo ila mpira hatuhujui.
Anaweza kuchukua kabisa kombemjomba unahisi ivory coast ata akipita atafanya kitu Gani cha ajabu zaidi zaidi atabondwa kipigo cha mbwa koko huk mbele ya safari
Bado hujaelewaWametoka kivipi? Group C.
Cameroon vs Gambia wakitoka draw
Cameroon atakuwa na point 2 gambia 1 .Kibest looser watazidiwa na ivory coast mwenye points 3 pia Cameroon atazidiwa na Ghana kwa GD.
Group D. Algeria akishinda dhidi ya Mauritania maana yake kutakuwa na best looser mmoja tu kwenye hilo group sababu Mauritania atakuwa na points 0.
Group E
South Afrika akimfunga Tunisia maana yake hilo group litakuwa na best looser mmoja tu sababu Tunisia atakuwa na point 1.
Group F
Taifa stars wakifungwa , Zambia akifungwa zaidi ya goli 1 kibest looser watazidiwa na Ivory coast mwenye points 3 na Zambia atazidiwa na Ghana kwa GD.
Sasa unaposema wameshatoka unaangalia vigezo gani?
Mbele ya Morocco 🇲🇦 hahaaaa haya ni maskharaAnaweza kuchukua kabisa kombe
Hakun cha walau tusubiri mbungi zikamilike tu maana hakuna matokeo ya uhakikaHawana hiyo nafasi.. Ghana ana point 2... Ivory coast Wana points 3..
Kimsingi ili upite best loser walau uwe na point 4