2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hawana hiyo nafasi.. Ghana ana point 2... Ivory coast Wana points 3..
Kimsingi ili upite best loser walau uwe na point 4
Wacha kukariri. Elewa maana ya best looser haimaanishi uwe na points 4. Angalia msimamo wa makundi na fixtures halafu uone kama hakuna huo uwezekano wa Ghana na Ivory coast kuwa best looser.
 
Me nawashangaa hao wanaoisifia iyo cape verde cjui uwo ubora wao upo wapi ni kikosi cha kawaida tu kwa kweli

Wengi wao humu hawakutamani egypt apite, nadhani unaijua sababu,,, lakini egypt wamejua kuwafunga midomo watu hawa.

Kwa mtu anaejua mpira hawezi kusema egypt alizidiwa, ukiangalia kila kitu Cape verde amezidiwa, statistics zinajieleza
____CAPE VERDE__________EGYPT-----
Screenshot_20240123-084415_FotMob.jpg
 
Ghana na Ivory wameshatoka, kwangu nimefurahi sana
Wametoka kivipi? Group C.
Cameroon vs Gambia wakitoka draw
Cameroon atakuwa na point 2 gambia 1 .Kibest looser watazidiwa na ivory coast mwenye points 3 pia Cameroon atazidiwa na Ghana kwa GD.

Group D. Algeria akishinda dhidi ya Mauritania maana yake kutakuwa na best looser mmoja tu kwenye hilo group sababu Mauritania atakuwa na points 0.

Group E
South Afrika akimfunga Tunisia maana yake hilo group litakuwa na best looser mmoja tu sababu Tunisia atakuwa na point 1.

Group F
Taifa stars wakifungwa , Zambia akifungwa zaidi ya goli 1 kibest looser watazidiwa na Ivory coast mwenye points 3 na Zambia atazidiwa na Ghana kwa GD.

Sasa unaposema wameshatoka unaangalia vigezo gani?
 
mjomba unahisi ivory coast ata akipita atafanya kitu Gani cha ajabu zaidi zaidi atabondwa kipigo cha mbwa koko huk mbele ya safari
 
Wametoka kivipi? Group C.
Cameroon vs Gambia wakitoka draw
Cameroon atakuwa na point 2 gambia 1 .Kibest looser watazidiwa na ivory coast mwenye points 3 pia Cameroon atazidiwa na Ghana kwa GD.

Group D. Algeria akishinda dhidi ya Mauritania maana yake kutakuwa na best looser mmoja tu kwenye hilo group sababu Mauritania atakuwa na points 0.

Group E
South Afrika akimfunga Tunisia maana yake hilo group litakuwa na best looser mmoja tu sababu Tunisia atakuwa na point 1.

Group F
Taifa stars wakifungwa , Zambia akifungwa zaidi ya goli 1 kibest looser watazidiwa na Ivory coast mwenye points 3 na Zambia atazidiwa na Ghana kwa GD.

Sasa unaposema wameshatoka unaangalia vigezo gani?
Bado hujaelewa
Ivory na Guinea-Bissau wameshatoka
Ghana na msumbiji wameshatoka

Subiri hiyo june world cup Qualification CAF
 
Back
Top Bottom