Points na goal difference wapo sawa wote -1 wamekuja kuangalia mwenye magoli mengi ya kufunga,Cameroon amefunga magoli (05) huku Guinea wamefunga magoli (04)Hivi mbona Cameroon na Guinea wote wanalingana alama na idadi ya magoli lakini Cameroon kapita? Kadi au?
Kwanini hawaangalii magoli ya kufungwa?Points na goal difference wapo sawa wote -1 wamekuja kuangalia mwenye magoli mengi ya kufunga,Cameroon amefunga magoli (05) huku Guinea wamefunga magoli (04)
Nahisi kunaweza kuwa na sababu za muda pia wa kucheza michuano yenyewe kuongeza timu 08 kwenye 24 ili kupata hizo 32 kunaongeza makundi mengine mawili ya ziadaunanifundisha kitu ambacho nakifahamu najua ili upate timu 16 lazima uwe na Timu 32 nimeanza kucheki mpira kitambo sana point yangu ilikua kwanin wasiweke timu zote 32
Acha kubet kwenye boma za watu mkuu πasa linachapa saa ngapi na wakati lipo kambini na Timu ya Taifa au linafokorea huk huk kambini
Anaanza?Namuona Aziz k ππ€£π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaanza?
Mautopolo yatajaa hapa.
Na hao mabeki wao ni wavivu sanaTanzania wanacheza Kama wapo mazoezini.
Sioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona yameshaweka kambi kitambo au hujayaona ?Anaanza?
Mautopolo yatajaa hapa.
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bacca tu ndiyo anapambana kwa 100%Na hao mabeki wao ni wavivu sana
Nimeyaona.Mbona yameshaweka kambi kitambo au hujayaona ?