Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Points na goal difference wapo sawa wote -1 wamekuja kuangalia mwenye magoli mengi ya kufunga,Cameroon amefunga magoli (05) huku Guinea wamefunga magoli (04)Hivi mbona Cameroon na Guinea wote wanalingana alama na idadi ya magoli lakini Cameroon kapita? Kadi au?