Tena limetulia haswaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asanteni Angola sina cha kuwalipa ila Muumba atawalipa, Jiji Limetulia.
Sawa mkuu, nilimaanisha wabaki YangaDiarra bado wanabaki sababu wana pointi 4.
Kwa matokeo ya jana Morocco na Mali wamesonga mbele hata kama leo watafungwa
Saa 5 , stars ipigwe nyingiWakuu leo stars SAA ngapi??
Wale ambao tunaitakia timu ya mama yetu kizimkazi ushindi tukutane hapa
Mauritania [emoji1163] keshapita wewe. Hakuna cha maombi hapaIvory Coast na Mauritania wanaziombea timu za leo zitakazoshika nafasi za 3 zisifikishe pointi 4 alafu zihamuliwe timu 3 zenye pointi 3 kuungana na timu ya Guinea yenye pointi 4 kwenda kwenye 16 bora.
Nawaona WENYEJI ambao ni Ivory Coast wakisonga mbele.
Muritania ameenda tayari wakufanya maombi ni Ivory Coast kwa migoli aliyopigwa anaweza asitoboeMauritania [emoji1163] keshapita wewe. Hakuna cha maombi hapa
Huyu kocha jinga sana, ile mechi ya Zambia tulikuwa tunashinda akabadili aina yanucheza ikawa inakaba badala ya kuendelea kushambuliaKama kweli vileView attachment 2881334
Akili kiazi weweMauritania [emoji1163] keshapita wewe. Hakuna cha maombi hapa
Kabsa tunawashukuru sana 😂Walisikia kilio chetu wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]