2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ivory Coast na Mauritania wanaziombea timu za leo zitakazoshika nafasi za 3 zisifikishe pointi 4 alafu zihamuliwe timu 3 zenye pointi 3 kuungana na timu ya Guinea yenye pointi 4 kwenda kwenye 16 bora.

Nawaona WENYEJI ambao ni Ivory Coast wakisonga mbele.
 
Wakuu leo stars SAA ngapi??

Wale ambao tunaitakia timu ya mama yetu kizimkazi ushindi tukutane hapa
 
Huyu algeria ameenda kuwa mchovu wa wote Kwenye kundi lake ndiyo aliongoza kundi letu la kufuzu na tukalazimisha Sare pale kwao kwa kuhema ile mbaya na kushangilia Kama tumeshinda kombe la dunia ??🤔
Ni haki tukaishia round ya kwanza wala tusitegemee maajabu , mafanikio hayaji kwa kusubiria unatakiwa uyapambanie.
Karia aondoke na watu wake waje watu wapya wenye uwezo na nia , akibaki karia ataendelea na upendeleo wake huku soka la Tanzania likizidi kuangamia.
 
Ivory Coast na Mauritania wanaziombea timu za leo zitakazoshika nafasi za 3 zisifikishe pointi 4 alafu zihamuliwe timu 3 zenye pointi 3 kuungana na timu ya Guinea yenye pointi 4 kwenda kwenye 16 bora.

Nawaona WENYEJI ambao ni Ivory Coast wakisonga mbele.
Mauritania [emoji1163] keshapita wewe. Hakuna cha maombi hapa
 
🤣
IMG_9578.jpeg
 
Back
Top Bottom