2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ila ule uchezaji wa kurudisha mipira nyuma sijui nani aliwafundisha aisee.

Ni wa kiwaki.

Wangeshinda ile game Leo wangekuwa na matumaini ya kupenya hata kama wangepigwa
Yan hakuna watu wajinga kama kocha na team yake.. Ww mnaongoza watu wako nusu ivi hata kama hauna akil unaweza cheza mpr wa kurudisha nyuma kweli?

Wkt unajua wazi kbs una invite pressure ya wapinzan kukupress kufanya makosa kwny half yako maana yake utacheza fouls utatoa mipira nje na italeta set pieces ambazo zinaweza kukucost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…