Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Tunisia kwa mpira huu,sijui kama atapita kwa Hawa wajukuu wa mandelaMechi ya sauzi kama imepoa
Sauz na tunisiaWewe unaangalia mechi ipi hiyo?.
Wanaweza kubadilika kipind cha pili wajukuu wa mandela wanafika ila bado wanakosa utulkvuTunisia kwa mpira huu,sijui kama atapita kwa Hawa wajukuu wa mandela
Hata huku ni tangu saa 12 jioni.tanesco wamepiga sehemu nyingi nadhan, kimara tuko gizani toka saa 12
Ndio nashangaa ya sauz mbona mpira umechangamkaWewe unaangalia mechi ipi hiyo?.
Wewe ndio Kiazi. Kubwa zima unashindwa kufahamu mambo madogo kiasi hichi. View attachment 2881675
Heri nyie tangu jioniHata huku ni tangu saa 12 jioni.
Mkuu una hakika upo Tz ama uko Malawi?Heri nyie tangu jioni
Sisi tangu jana
Yaani acha tu MkuuMkuu una hakika upo Tz ama uko Malawi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dua zenu Fc itachapwaa leo.Leo ndo leo...
Lolote laweza tokea...nyie roho mbaya fc mtajutraaaa...ww na genge lako lote mtaweka wapi sura zenu... 😂 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dua zenu Fc itachapwaa leo.
Duuh wapi huko?Sukari kilo SHS 7500.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nshampa ba tamu hela yangu na ashanibettia, hapa nasubiri fungu langu kutoka kwa muhindi.Lolote laweza tokea...nyie roho mbaya fc mtajutraaaa...ww na genge lako lote mtaweka wapi sura zenu... [emoji23] [emoji23]