Tatizo kubwa,Akili ya goli hatuna..
Wanakutana na Senegalmajinga kweli watapa wanachokitafuta huk mbele lazima aje kula mvua ya kutosha kwa lile timu
Kocha alisema atashambulia lakini sioniMechi limepooza sana kama tupo msibani
Kwel Lusajo hayupo form kabisa leoMnoga au Lusajo mmoja aende nje aingie Kibu D
Alaa!! Kumbe akili zao huwa ziko Ulaya.. ndo maana wana underperform Africa..Kwingineko Barani Europa pale kwenye dimba la San Mames Barria, Bilbao Spain, Innaki Williams yuko bench katika mechi ambayo Athletic Club Bilbao ikipepetana na FC Barcelona. Jamaa alienda na ndege binafsi ambayo ilimsubiri na baada ya Ghana kutolewa AFCON aliondoka haraka kuwahi mechi dhidi ya Barcelona
🤣🤣Kwingineko Barani Europa pale kwenye dimba la San Mames Barria, Bilbao Spain, Innaki Williams yuko bench katika mechi ambayo Athletic Club Bilbao ikipepetana na FC Barcelona. Jamaa alienda na ndege binafsi ambayo ilimsubiri na baada ya Ghana kutolewa AFCON aliondoka haraka kuwahi mechi dhidi ya Barcelona
Kevin Prince Boateng yeye alikuwa anachezea Ghana kwenye kombe la dunia tu ikifika Afcon anastaafu🤣Alaa!! Kumbe akili zao huwa ziko Ulaya.. ndo maana wana underperform Africa..
Afu kuna mechi nimeisahau, jamaa aliwachomesha ghanaKwingineko Barani Europa pale kwenye dimba la San Mames Barria, Bilbao Spain, Innaki Williams yuko bench katika mechi ambayo Athletic Club Bilbao ikipepetana na FC Barcelona. Jamaa alienda na ndege binafsi ambayo ilimsubiri na baada ya Ghana kutolewa AFCON aliondoka haraka kuwahi mechi dhidi ya Barcelona
Wasije wakawa wamekula mlungula tuTaifa stars wanacheza kama wamechoka flani hivi utasema walishiriki maandamano ya leo