2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kwingineko Barani Europa pale kwenye dimba la San Mames Barria, Bilbao Spain, Innaki Williams yuko bench katika mechi ambayo Athletic Club Bilbao ikipepetana na FC Barcelona. Jamaa alienda na ndege binafsi ambayo ilimsubiri na baada ya Ghana kutolewa AFCON aliondoka haraka kuwahi mechi dhidi ya Barcelona
 
Alaa!! Kumbe akili zao huwa ziko Ulaya.. ndo maana wana underperform Africa..
 
Kwingineko Barani Europa pale kwenye dimba la San Mames Barria, Bilbao Spain, Innaki Williams yuko bench katika mechi ambayo Athletic Club Bilbao ikipepetana na FC Barcelona. Jamaa alienda na ndege binafsi ambayo ilimsubiri na baada ya Ghana kutolewa AFCON aliondoka haraka kuwahi mechi dhidi ya Barcelona
🤣🤣
 
Afu kuna mechi nimeisahau, jamaa aliwachomesha ghana
 
Back
Top Bottom