2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hivi morroco na Mgunda wanategemea goli litapatikana wapi kama kila tukishambulia hakuna mchezaji ndani ya box la mpinzani?

Tunaishia kubutua na kupoteza mipira tu, hakuna mchezaji anafanya mikimbio nyuma ya defense yao
 
Na bila kujua sisi tunahitaj goal.
 
Unapiga long balls kama una target man anayeweza kushinda mipira ya juu kama John Bocco, sio pimbi kama akina Msuva.

Naogopa huyu Morroco na mwenzake hawajui cha kufanya, wameishiwa maarifa
 
Hapo Manula kafanya vizuri sana kutoka, bila hivyo alikuwa anafungwa maana beki zilikuwa zinawahi golini badala ya kufata mpira.
 
Hivi morroco na Mgunda wanategemea goli litapatikana wapi kama kila tukishambulia hakuna mchezaji ndani ya box la mpinzani?

Tunaishia kubutua na kupoteza mipira tu, hakuna mchezaji anafanya mikimbio nyuma ya defense yao
Tunacheza kama tushavuka.

Peleka wachezaji mbele, hatuna chakupoteza kwa sasa.
 
Wachambuz Supersport hawaamin kua tunacheza mpr lkn kwny box hatufanyi chochote cha maana.

Yan imekua kama na sisi tunahitaj draw kupita.

Commentator wa SS anaongea ukweli sana, hatuna mipango, tutafungaje na hatushambulii, tumeingia vita ya bunduki na Switchblade..anashangaa mabeki 3 wanamark no one bádala ya kwenda mbele.

Daaah sijui kwa nini tumeingia hii Michuano, bora angepita Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…