2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Tanzania wana timu mbovu na ya ajabu sana yani watu dakka zimeisha kabsa lakin hawana hata haraka ya kuanzisha mipira na kupeleka mashambulizi yani ni kama wamepewa hela ili waiachie Congo ipite.

Kwenye dakka za nyongeza pale niliona mpira ulitoka ila ndo kwanza Zimbwe anaufata mpira kwa kujivuta huku anatembea taratibu, yani ni kama hawajui maana halisi ya kushindana hawana Spirit kabsa hii Timu ivunjwe tu.
 
Tena akawa anajifanya kama hauoni mpr vile.

Kana kwamba unajiuliz hawa watu hawajui wanatafuta ushindi au draw wao inawatosha tu.
 
Mtu yuko kati ya dimba badala ya kupiga pasi kufungua uwanja anarudisha kwa kipa

Mpaka unapata hasira
 
Wewe na huyo kocha ndiyo mmepanga hivyo kupaki basi mwanzo mwisho halafu mnataka goli
Kama uliona Stars wamepaki bus mwanzo mwisho, basi huenda ulikuwa unaangalia mechi nyingine iliyochezwa zamani, possibly recorded. Hiyo mechi uliyoangalia matokeo yalikuwaje? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…