Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Mpira mwingi nyuma usio na malengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena akawa anajifanya kama hauoni mpr vile.Tanzania wana timu mbovu na ya ajabu sana yani watu dakka zimeisha kabsa lakin hawana hata haraka ya kuanzisha mipira na kupeleka mashambulizi yani ni kama wamepewa hela ili waiachie Congo ipite.
Kwenye dakka za nyongeza pale niliona mpira ulitoka ila ndo kwanza Zimbwe anaufata mpira kwa kujivuta huku anatembea taratibu, yani ni kama hawajui maana halisi ya kushindana hawana Spirit kabsa hii Timu ivunjwe tu.
Ni wapuuzi sana hawa ilifaa wafikishwe mahakamani kabsa kwa kosa la utapeli wa kimichezoTena akawa anajifanya kama hauoni mpr vile.
Kana kwamba unajiuliz hawa watu hawajui wanatafuta ushindi au draw wao inawatosha tu.
Kwamba unaona kwa umakini kuliko kocha anayewafundisha?Mtu yuko kati ya dimba badala ya kupiga pasi kufungua uwanja anarudisha kwa kipa
Mpaka unapata hasira
Wewe na huyo kocha ndiyo mmepanga hivyo kupaki basi mwanzo mwisho halafu mnataka goliKwamba unaona kwa umakini kuliko kocha anayewafundisha?
Kama uliona Stars wamepaki bus mwanzo mwisho, basi huenda ulikuwa unaangalia mechi nyingine iliyochezwa zamani, possibly recorded. Hiyo mechi uliyoangalia matokeo yalikuwaje? 😁Wewe na huyo kocha ndiyo mmepanga hivyo kupaki basi mwanzo mwisho halafu mnataka goli
Ok wameshambuliaKama uliona Stars wamepaki bus mwanzo mwisho, basi huenda ulikuwa unaangalia mechi nyingine iliyochezwa zamani, possibly recorded. Hiyo mechi uliyoangalia matokeo yalikuwaje? 😁
Huyu hapaKwahiyo leo hamna man of the match?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni wapuuzi sana hawa ilifaa wafikishwe mahakamani kabsa kwa kosa la utapeli wa kimichezo
[emoji23][emoji23][emoji419][emoji817]Ni wapuuzi sana hawa ilifaa wafikishwe mahakamani kabsa kwa kosa la utapeli wa kimichezo