2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Angola wanabidi wafanye kaz mara 2 walau hata wawe na nafas ya kupita.

Namibia nao wakileta mambo ya Stars vs Zambia ya kulizika game wataiona ngumu bado... Wanabid wajue namna ya kutumia advantage ya Extra player.
Masikini kipa wa Angola πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…