2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ngoja niwe mkweli. Ile offside ya goli lililokataliwa imenifanya nijihisi sijui kila kitu kwenye mpira.
Aisee kweli lazima ujihisi. Nipo na washikaji kibao hapa goli lilivyofungwa tu nikasema hiyo ni offside na nikasema hadi sababu watu wote walikataa. Baada ya offside watu imebidi wakubali na wakataka ufafanuzi.
 
Ngoja niwe mkweli. Ile offside ya goli lililokataliwa imenifanya nijihisi sijui kila kitu kwenye mpira.
Easy tu, kipa katoka nyuma kabaki beki. Yule beki ndio mtu wa mwisho ana act kama kipa na kipa ana act kama beki. Kwahyo yoyote aliyepokea pasi nyuma ya kipa (ambaye anachukuliwa kama beki kwa lile tukio ) anahesabika yupo offisde
 
Aisee kweli lazima ujihisi. Nipo na washikaji kibao hapa goli lilivyofungwa tu nikasema hiyo ni offside na nikasema hadi sababu watu wote walikataa. Baada ya offside watu imebidi wakubali na wakataka ufafanuzi.
Fafanua sasa maana beki wa Cameroon alikuwa kwenye mstari wa goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…