Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Aisee kweli lazima ujihisi. Nipo na washikaji kibao hapa goli lilivyofungwa tu nikasema hiyo ni offside na nikasema hadi sababu watu wote walikataa. Baada ya offside watu imebidi wakubali na wakataka ufafanuzi.Ngoja niwe mkweli. Ile offside ya goli lililokataliwa imenifanya nijihisi sijui kila kitu kwenye mpira.