Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Captain wao aliwabeba na ndo kawa cost leo watoke pia.Moja ya timu bora ya mashindano inatolewa katika mashindano…inauma
Ni vile walikutana na mziki mnene wa Senegal [emoji1211]Hawa jamaa sio wabaya kumbe
Dahhh hatokuja kusahau hii mechi na Nch nzima hawatokuja kumsahau,😁Moja kati ya star wa mashindano ya mwaka huu ni Nsue…Atakumbukwa
Ndo maana wanalia.Goli la mwisho za dakika huwa linauma sana
Nilikua sina imani nahizi timu😁Nilikuambia weka mkeka wako😂😂😂
Hakika mkuuHatuwadai wanetu wa Guinea ya Ikweta.
Ulikuwa wasaa mzuri kuwatazama wakicheza!!
Na ndiyo Mashabiki waliojaza uwanja...Ss wa Ivory Coast tumefurah sana[emoji16]
Huu mchezo una furaha yake pia inakipind Cha maumivu makali mnoAliyevumbua mpira wa miguu mbingu ataisikia tu
Pole babyMpira una maumivu nyieeeee...
Hawa wakaka wa EQG wameniliza kwakweli....
Yaliwapiga Ivory coast kama ngoma na mpira wao wa janjajanja wa kuviziaEqutorial Guinea XIView attachment 2886223
Ila binafsi nimefurahi walivyotolewa...Captain wao aliwabeba na ndo kawa cost leo watoke pia.
Unaona wanalia wachezaj wao.kwa sbb wametolewa kikatili sana yan dkk ya mwsh na mtu kajitwisha ndoo hapo hapo.