2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Halafu mnasema mashabiki mna umia kuliko wachezaji?? Acheni upuuzi ona wanaume walivyoumia hapo wote wamelia..ila Nsue mbona anatafuna tuu big Giiii???
Mwanaume analilia moyoni....Mwamba ana maumivu Zaidi ya wote hapo katika timu Yao.
 
Mpira una maumivu nyieeeee...
Hawa wakaka wa EQG wameniliza kwakweli....
Kipara, kashindwa kuibeba timu kwa nafasi alizopata, nikikumbuka ile fainali ya Argentina na ufaransa kule Qatar, alichokifanya mbape ijapokua ufaransa alipoteza.

Ukilinganisha ta timu za taifa za Africa, ndio utajua ni jinsi gani wenzetu wanavyojitoa kwa hali na mali linapokuja suala la utaifa.
 
Hata Ss baada ya Prezidahh kuleta Salam na ahad kedekede mwisho wa Siku tukatoka😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…