uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Uyo faza akivaa yale mashati ya mtumbwa na misuruali ya bwanga ngoma inasoma 50
Naby Keita mbona kashuka kiwango hivi hadi kuwekwa sana bench. Halafu ndio ana miaka 28. Au hii miaka ni ile ya Passport tu