Komba the Great
JF-Expert Member
- Apr 25, 2016
- 340
- 654
Yah ni kweliKabisa.
Ila upungufu huwa unaongeza nguvu
Kocha kaingia uwanjani?Huyu kocha nae anatoa sana kadi
Wakienda matuta Banyamulenge anakufaSasa waarabu walivyo wahuni Watalazimisha Ngoma Ikaamuliwe na Matuta
Duh 🤣😂Tangu waanze mechi za mtoano jana, tayari kuna kadi nyekundu 3
Kocha anatoaje kadi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kocha nae anatoa sana kadi
Wewe endelea kusoma fiction story tu hii ni nafasi kwa CongoKabisa.
Ila upungufu huwa unaongeza nguvu
Huyo kalewa 🤣😂Kocha anatoaje kadi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio kutokueleweka kwenyewe.Sio kwamba hapewi tu nafasi?
Kocha anatoaje kadi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakapambane na kundi la waasi la maimai🤣🤣Pigeni hao warudi msituni
Kule Misri anafanya vizuriSioni ajabu mayele kutowika kama huku, bongo tunadanganyana tu hakuna mpira
Mayele huyoooNdio kutokueleweka kwenyewe.
Benchi halijawahi kuwa rafiki kwa mchezaji.
Kabisa poti 😁Wakapambane na kundi la waasi la maimai🤣🤣