uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Huo mpira uliopigwa na Musumbiji unauona ni wa kawaida? Tanzania anaachwa mbali sana na Msumbiji kimpira.Hii ndiyo Egypt iliyoifunga Tanzania mbili sifuri au ni nyingine?
Mbona ina struggle sana ??
Nafikiri kocha wa Tanzania ni bomu kabisa hata wachezaji aliokuwa nao hajui kuwatumia, hajui kupanga lineup , Hana mfumo unaoleweka, hajui kuchagua wachezaji.
Mozambique na Equatorial Guinea wameonyesha namna ya kucheza na timu zenye majina makubwa .
Misri hafiki mbali, mpira wao umeshuka sana.kwa hizi timu sjui Taifa stars, sjui ivory coast misri lazima afike mbali sana
huyo jamaa ni genius kuanzia scouting mpaka sub anazofanya zinaleta tija alafu cha ajabu kuna mchezaji ana miaka 40 ndiye aliyetoka nadhaniKocha ni Mmakonde Pia
Ni wazi kuwa mpira wao umeshuka sana, na zile zama za team kuogopa waarabu zimeshaisha sio kwa team za taifa tu hata ngazi ya vilabu waarabu wanapakatwa sana sikuhizi.mh ivi wew unawachukulia poa warabu 2021 walianza mechi ya kwanza tu na kichapo ila baada ya hapo kituo cha mwisho ilikua fainali EGYPTY Ndio Taifa hatari zaidi kwenye AFRICON toka imeanzishwa
Misri hafiki mbali, mpira wao umeshuka sana.
Hamia dstv 222Hivi hawa wachambuzi. Wetu wa Azam hawafanyagi research kweli. Kuzingatia timing, creativity, presentation.
Yaani kila siku basi ongeaaa, alafu kiemba anaenda kwa Tv anazungusha zungusha basi.
Mashindano kama haya hayataki maneno mengi, fan interaction ni muhimu, onesha hali nje ya uwanja na ndani ya uwanja warm up.
Head to head, nguvu za kikosi, key player to watch na picha yake inakua kwa secreen kubwa na tupate hata highlights zake
I support Cape VerdeKIKOSI CHA GHANA (BLACK STARS) KINACHOANZA.
View attachment 2872076
KIKOSI CHA CAPE VERDE KINACHOANZA.
View attachment 2872118
All the Best Cape Verde.
Wajifunze kuweka historia fupi ya timu kwenye mchuano, history iwe HD, graphics ziwe juu, si wanajitapa wanahaki ya kubroadcast Tanzania pekee.Hivi hawa wachambuzi. Wetu wa Azam hawafanyagi research kweli. Kuzingatia timing, creativity, presentation.
Yaani kila siku basi ongeaaa, alafu kiemba anaenda kwa Tv anazungusha zungusha basi.
Mashindano kama haya hayataki maneno mengi, fan interaction ni muhimu, onesha hali nje ya uwanja na ndani ya uwanja warm up.
Head to head, nguvu za kikosi, key player to watch na picha yake inakua kwa secreen kubwa na tupate hata highlights zake
Nilifanya makosa, ya kuweka azam mkuu. Sababu DSTV ilikua hatihati hawaoneshi, natema nyongo.Hamia dstv 222
Kwa buku 10 tu upate hayo yote
Mnadanganyana mno humu ndani, hivi unajua kabila kubwa msumbiji sio wamakonde?Hao ni wamakonde og mkuu 😂
Hahaha Barca hamna timu mkuuXavi sio kocha mzuri kwa kweli anaidhalilisha barcelona
Huyu bado hajaiva kuwa kocha wa barcelona angechukua timu ya kawaida kwanza ajitafute
Kwanini mnawaita wamakonde?Mwarabu kaingia kwenye mfumo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].makonde boys wanajipigia tu
Ni ndugu zetu kabisa,Kwanini mnawaita wamakonde?
Msumbiji wamecheza mpira mzuriNaona watu wanaichukulia poa egypt
Egypt kiufundi yupo vizuri
Mozambique team work imewapa point moja
Wakikaza watavuka makundi lkn sio rahisi