2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hii ndiyo Egypt iliyoifunga Tanzania mbili sifuri au ni nyingine?
Mbona ina struggle sana ??
Nafikiri kocha wa Tanzania ni bomu kabisa hata wachezaji aliokuwa nao hajui kuwatumia, hajui kupanga lineup , Hana mfumo unaoleweka, hajui kuchagua wachezaji.
Mozambique na Equatorial Guinea wameonyesha namna ya kucheza na timu zenye majina makubwa .
Huo mpira uliopigwa na Musumbiji unauona ni wa kawaida? Tanzania anaachwa mbali sana na Msumbiji kimpira.

Kwahiyo usishangae Egypt kumfunga Tz.
 
mh ivi wew unawachukulia poa warabu 2021 walianza mechi ya kwanza tu na kichapo ila baada ya hapo kituo cha mwisho ilikua fainali EGYPTY Ndio Taifa hatari zaidi kwenye AFRICON toka imeanzishwa
Ni wazi kuwa mpira wao umeshuka sana, na zile zama za team kuogopa waarabu zimeshaisha sio kwa team za taifa tu hata ngazi ya vilabu waarabu wanapakatwa sana sikuhizi.

Ule mpira uliochezwa kwenye mechi kati ya Ivory Coast na Guinea jana, Egypt haondoki na matokeo akicheza na team yoyote kati ya zile.
 
Hivi hawa wachambuzi. Wetu wa Azam hawafanyagi research kweli. Kuzingatia timing, creativity, presentation.

Yaani kila siku basi ongeaaa, alafu kiemba anaenda kwa Tv anazungusha zungusha basi.

Mashindano kama haya hayataki maneno mengi, fan interaction ni muhimu, onesha hali nje ya uwanja na ndani ya uwanja warm up.

Head to head, nguvu za kikosi, key player to watch na picha yake inakua kwa secreen kubwa na tupate hata highlights zake
 
Egypt ni timu nzuri kiufundi walichofanya wamakonde ni km surprise

Egypt ya kipindi cha nyuma ilikuwa inafundishwa na makocha wa ndani ( waarabu) na lile soka lao pasi za haraka haraka na kasi ilikuwa inawasaidia kuchukua ubingwa wa africa back to back ila kombe la dunia wakawa hawafuzu

Wakabadilisha mfumo wakawa wanaajiri makocha wakizungu ule mpira wa kasi ukajifia automatic wakashif kwenye kucheza mpira wa ulaya
Misri hafiki mbali, mpira wao umeshuka sana.
 
Hivi hawa wachambuzi. Wetu wa Azam hawafanyagi research kweli. Kuzingatia timing, creativity, presentation.

Yaani kila siku basi ongeaaa, alafu kiemba anaenda kwa Tv anazungusha zungusha basi.

Mashindano kama haya hayataki maneno mengi, fan interaction ni muhimu, onesha hali nje ya uwanja na ndani ya uwanja warm up.

Head to head, nguvu za kikosi, key player to watch na picha yake inakua kwa secreen kubwa na tupate hata highlights zake
Hamia dstv 222
Kwa buku 10 tu upate hayo yote
 
Hivi hawa wachambuzi. Wetu wa Azam hawafanyagi research kweli. Kuzingatia timing, creativity, presentation.

Yaani kila siku basi ongeaaa, alafu kiemba anaenda kwa Tv anazungusha zungusha basi.

Mashindano kama haya hayataki maneno mengi, fan interaction ni muhimu, onesha hali nje ya uwanja na ndani ya uwanja warm up.

Head to head, nguvu za kikosi, key player to watch na picha yake inakua kwa secreen kubwa na tupate hata highlights zake
Wajifunze kuweka historia fupi ya timu kwenye mchuano, history iwe HD, graphics ziwe juu, si wanajitapa wanahaki ya kubroadcast Tanzania pekee.

Premier League, presentation ipo very clear, hata supersport.
 
Back
Top Bottom