Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Anajitahid kuotea upande lkn bado hajabahatika kudakaKongo kipa hana utulivu
Makipa ni wabovu sana, ndiyo tatizo.Hta mm naonaaa hawa wameamua kutukeshesha
GABOKSI leo πππGabaski anatuangusha
Amen[emoji1488]kombe la dunia la mwaka 2026 tukijaaliwa uzima kutakua na kazi sana ya kukesha.
just imagine mechi zitaanza saa 7 usiku, mpaka wamalize kupiga penati kama leo game inaisha saa 10 alfajiri.
baada ya hapo unaenda kuoga unavaa nguo kazini.
kikubwa uzima panapo majaaliwa.
πππhomeboy wako uongo?Mbemba home boy kabisa
hawa jamaa kwa penati wapo vizuri syo kama ufaransa nation teamHii ya 6 congo anakosa
Niko nae hapa.Shemeji hayupo?πππ€£
GABOKSI anatoboka toboka toboka toboka toboka πGabaski anatuangusha
HaiwezekaniINONGA ANACHOMA