Firauni kapigwa vibaya pale alipojaribu kuvuka Bahari kilichomkuta hasahau miaka 100uran The Lastdream , GOAT Mad Max Naombeni matokeo ya Bamutu Bakongo Vs Farao pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Niliacha 1-1
cc Smart911
GABOKSI mwokozi ameharibu shughuli
MamboYani leo najiona hapo kabisa nimechelewa kuamka nikachelewa kazini na nina jam la usingizi kama lote hapa!
Santo sana!Firauni kapigwa vibaya pale alipojaribu kuvuka Bahari kilichomkuta hasahau miaka 100
[emoji23][emoji23][emoji23] inonga kwenye penalt ana kitete sanaa.Kumbe Inonga alipiga penalty akapata Mungu ni mwema sana..nikikumbuka kule SA na Orlando pirates...alipokosa aliumiaaa yani tukatoka jamani..nadhani ile picha ilikua inamrudia akasema noo lazima leo nipate..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakivuka kwenye hatua za makundi wanakuwaga hatari sana, si mnajua balaa la Al Ahly[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanza alivyokuwa anaangalia ule mpira nikawaza huyu anaweza wachomesha wacongoman[emoji23][emoji23][emoji23] inonga kwenye penalt ana kitete sanaa.
Leo cape verde, Senegal wanapita😂😂Santo sana!
Kweli Mungu wangu ana nguvu sana Iiiiiigggweeeeeeeeeeeee
uran The Lastdream atold you hajawahi niangushaaaaaaa Naombeni mkeka wa leo nione upepo kwanza
cc Smart911
Hata ya GabaksiJapo Misri wametoka ila nao walipoga penati vizuri sana.
Nilipenda ya yule Mushi nani sijui...aliiweka ikaenda nyavu za juu
Ilikuwa penati iliyonivutia zaidi Jana.
Kwan angekosa hiyo penalt, afu Congo ikatolewa mbona lawama zote angebeba yeye. Afadhari kapataaKwanza alivyokuwa anaangalia ule mpira nikawaza huyu anaweza wachomesha wacongoman
Wachezaji wa timu za tz hawaaminiki
Jamaa alifunga vzr sana,hakutaka kupindisha pindisha miguu.
Angejichanganya tu aipindishe sijui itue wapi,angewachoma.
Makipa ni weupe sana,unapiga tu kati na unapata.
Asantreeeeeeee!Leo cape verde, Senegal wanapita😂😂
Ivory cost nasikia wamewekewa wanajeshi kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo 45 za kwanza wasiporudi na goli vyumbani ni mikanda tuHao kam kauwaaa haina kujiuliza imeisha hiooo 😊!
Kila la kheri kwaoooo
Leo muue Ivory Coast mapema sana Senegal kapewa runguSanto sana!
Kweli Mungu wangu ana nguvu sana Iiiiiigggweeeeeeeeeeeee
uran The Lastdream atold you hajawahi niangushaaaaaaa Naombeni mkeka wa leo nione upepo kwanza
cc Smart911
Watafia uwanjani Ila Senegal leo anawaondoa hao mbele ya mashabiki zaoIvory cost nasikia wamewekewa wanajeshi kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo 45 za kwanza wasiporudi na goli vyumbani ni mikanda tu
Watacheza na presha kubwa sanaWatafia uwanjani Ila Senegal leo anawaondoa hao mbele ya mashabiki zao
Kunq makipa wengine wanakariri wanajua mtu akitumia mguu wa kushoto uelekeo wa mpira ni wapiKwanza alivyokuwa anaangalia ule mpira nikawaza huyu anaweza wachomesha wacongoman
Wachezaji wa timu za tz hawaaminiki
Jamaa alifunga vzr sana,hakutaka kupindisha pindisha miguu.
Angejichanganya tu aipindishe sijui itue wapi,angewachoma.
Makipa ni weupe sana,unapiga tu kati na unapata.