Umeongelea ukweli zaidi mkuu. Hizi timu ni mfano mzuri sana kwa mapinduzi ya soka la africa.Ni sahihi. Ukiangalia Physic, umri wa wachezaji pamoja na majina yao wachezaji wa hizi timu mbili unaona wanakitu, wapo serious na wanamaanisha na kujua wafanyacho na wamekaa kimichezo. Kimsingi, tuna safari ndefu sana kuwafikia hawa.
Mimi nasubiri Mauritania wafunge nianze kuangalia sura zenyu zilivyokunjamanaWamekoswa koswa MTN
Bado ubao haujasoma vijana nasikia waeambiwa wasipopata ushindi watafute nchi za kwenda😂😂Nipooo ndio natinga saii. Naomba samare kwanza make nachoambiwa hapa kama siamini amini vilee
cc Smart911
Cabo Verde huyo we subiriKuna mtu hapa atapigwa cha dakika za mwisho kinauma hicho
Kwako anasemaje🤣🤣??Mwangalie paka anasemaje leo nani anaenda kwao
Mauritania win Cabo Verde outKwako anasemaje🤣🤣??
Hv zile story huwa zinaletwa na nan maana unakuta Kila mtu anakwambia hvyo,😁Leo kila shabiki kaingia na fimbo ile kama ya mwalimu Nyerere tuliyokuwa tunadanganywa huwezi kuibeba
Huyo asubiri kuchinjwa maana atachana mikeka ya wakurungwa na hawatamuacha🤣🤣Leo ajiandae kisaikolojiaMauritania win Cabo Verde out
Unashangaa ilo wakati nduli idi Amin alikuwa anakaanga pumbu za wanaume🤣😂😂Hv zile story huwa zinaletwa na nan maana unakuta Kila mtu anakwambia hvyo,😁
Watu wetu waliokuwepo nje ndio kama hao type ya Dada wa Taifa Mange unafikir tutabadilika vp😁Ndio hao hao, ila CPV alienda kuchukua watu wao wanaoishi ulaya wenye asili ya kwao akawapa uraia ndio mwanzo wa mabadiliko ulipoanzia
TBC HAISHIKI HUKO😂?Leo hapa nilipokaa nakosaje Uhuru wa kuingia jf😊😊😊😊!
Tumebanana kishenzi kushoto Kwangu kuna mtuu kulia kuna mtuu nyuma yetu kuna watuuuu afu wao wamesimama yani wakipepesa kope kwa phone yangu tu ni shwaaaaa kumbe wewe ndo mahoo alaaaaah!
Najikuta naandika huku nimefunika Simu kwa mkono nachungulia kwa kuibiaibia jamani 🤠🤠🤠🤠🤠🙌!