2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ni sahihi. Ukiangalia Physic, umri wa wachezaji pamoja na majina yao wachezaji wa hizi timu mbili unaona wanakitu, wapo serious na wanamaanisha na kujua wafanyacho na wamekaa kimichezo. Kimsingi, tuna safari ndefu sana kuwafikia hawa.
Umeongelea ukweli zaidi mkuu. Hizi timu ni mfano mzuri sana kwa mapinduzi ya soka la africa.
 
Leo hapa nilipokaa nakosaje Uhuru wa kuingia jf😊😊😊😊!
Tumebanana kishenzi kushoto Kwangu kuna mtuu kulia kuna mtuu nyuma yetu kuna watuuuu afu wao wamesimama yani wakipepesa kope kwa phone yangu tu ni shwaaaaa kumbe wewe ndo mahoo alaaaaah!

Najikuta naandika huku nimefunika Simu kwa mkono nachungulia kwa kuibiaibia jamani 🤠🤠🤠🤠🤠🙌!
 
TBC HAISHIKI HUKO😂?
 
Back
Top Bottom