2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

TBC HAISHIKI HUKO😂?
Watoto wamenikazia fuvu wako bize na muvi zao za sinema zetu mi si najishauaga na DSTV yangu eti nikwendree 🤠🤠!

Sema kumbe mpira wa wengi ndio unanoga zaidi!
Yani sipumui hata kucheka nachekea tumboni 😊!

Nikiandika mtu akataka kujikuna kuelekea upande niliopo itabidi nibofye keypad lock kwanza nyieee🙌🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…