Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litamalizikia kwenye matuta na si kinyume cha hapoHii game inaisha dakika tisini.
West Africa hilo jina lipo sehemu kubwaHili jina foffana ni kama naliona kwenye kila timu au macho yangu
Cabo VerdeUtulivu hamna
HakikaHiyo nchi wanaume wanaishi kwa mateso sana.
Ni kama Traore, Diarra, Bakayoko, Mendy nkWest Africa hilo jina lipo sehemu kubwa
Hakuna matuta hii gemu mtu anafia humu humu na sio mwingine bali ni Cabo Verde outLitamalizikia kwenye matuta na si kinyume cha hapo
Tumeshazoea maeneo hayo majina maarufu yakiwa ni toure keita etcWest Africa hilo jina lipo sehemu kubwa
Watoto wamenikazia fuvu wako bize na muvi zao za sinema zetu mi si najishauaga na DSTV yangu eti nikwendree 🤠🤠!TBC HAISHIKI HUKO😂?
Dah umenikumbusha mbali sana huyo mnyama BAKAYOKO acha kabisa 🔥🔥Ni kama Traore, Diarra, Bakayoko, Mendy nk
Kuna mmoja anachezea timu ya taifa ya ufaransaUkoo wa mpira