Wewe nae tulia bwana, penatly tu hiiNilisema hapa watu wakanibishia. Tena mapema sana. Timu inapoenda kuruhusu goli unaliona kabisa linakuja.
Nikama siku ile TZ na Zambia. Goli la Zambia lilikuwa linaonekana kabisa.
Wako na kocha mpya lile Zungu wamelitimua😃Game bado sema Ivory coast leo wamecheza vizuri
Tuweke hio meseji mkuu mm sikuiona
Hapana ndani ya 90' Senego anashinda
Angalia hapo nilisema.Hii game tunaenda 120 kama jana
SafiAngalia hapo nilisema.
Nina Imani na SenegalAngalia hapo nilisema.
kabsaSadio Mane ile njano ilimpunguza makali sana.
Utashindwa kulala leoNina Imani na Senegal
Ww nenda tu😂 wakati CV bado wapoSenegal wakititoka na mi nimetoka mazima afcon bye bye