Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Gemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapite
Tunza hii usiseme sikusema Mauritania atamshamgaza Cabe Verde Ila Ivory Coast atagongwa vibaya pamoja na kwamba yupo kwao
Watu wengi tu, nahisi asilimia 99 walimuamin senegal.Ningekuwa nabet leo ningepigwa kila kitu.
Asilimia 90 niliwaamini Senegal
Kwa upande wangu nilifurahiDuuh nilienda kulala naamka kuchungulia humu nimehudhinika sana, timu Bora imeyaaga mashindano.kadi ya njano aliyopewa Mane ilimpunguza makali mno.
Ni chuo kama chuo au ni chuo madrassa?Bwana harusi wamemtoa ukumbini sasa anamfuata mkewe huko Chuo alipomruhusu akasome
Yetu macho.Ivory Coast kaingia kimazabe kweli mpira ukatiri huyu ilibidi aishie hapo Ila robo ndio mwisho wake
Jana alitisha sanaMpaka sasa nyau hajatuangusha [emoji3]
Jana nilijua tu Senegal hawezi kutoboa kwa mpira ule aliokuwa anapigiwa, Ivory Coast walicheza kama vile wapo tayari kuifia team yao, wachezaji wote walisahau majina yao na wakacheza kama underdogs.Wameweka bus, hawana uwezo wa kupishana na hii Ivory Coat ya leo.
Morroco hachukui hili kombe.Morroco bado ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, bado sijaona wakumzuia huyu Simba wa milima ya Atlas
Ebu nielezee hicho ulichokisema kinawezaje kutokea..kombe la cape verde
fainal cape verde vs morocco
Senegal amejua kuchinja watuWatu wengi tu, nahisi asilimia 99 walimuamin senegal.
Nabeti Bingwa anatoka kati ya hizi timu:
-Morocco -R16(To be played tonight)
-Ghana - OUT
-Senegal - OUT
-Nigeria - ¼ Finalist
-Ivory Coast - ¼ Finalist
-Egypt -OUT
-Algeria-OUT
Tuone kama watatoboa robo fainaliivory coast habebi hili kombe wamenyumba sana
Mwizi akishapata upenyo, mbio zake mbona Usain Bolt hafui dafu [emoji23][emoji23][emoji23]ivory coast ata tukipewa stars tunawanyosha hawa hawana lolote
Unadhani hata naelewa chochote basi.View attachment 2887841
Ungeweka kama hivi halafu weka laki moya Mimi nasubiria Hawa wawili kesho hapo
Kombe litabebwa na team ambayo haijawahi kuwa bora.