2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Gemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapite

Tunza hii usiseme sikusema Mauritania atamshamgaza Cabe Verde Ila Ivory Coast atagongwa vibaya pamoja na kwamba yupo kwao

Tiketi yako imeungua jivu kabisa. [emoji23]
 
Wameweka bus, hawana uwezo wa kupishana na hii Ivory Coat ya leo.
Jana nilijua tu Senegal hawezi kutoboa kwa mpira ule aliokuwa anapigiwa, Ivory Coast walicheza kama vile wapo tayari kuifia team yao, wachezaji wote walisahau majina yao na wakacheza kama underdogs.

Na kama mechi zilizobaki zote watacheza kama jana, basi tutawakuta fainali.

Ni mimi na jamaa yangu uran ndio tulikuwa upande wa Ivory Coast bila kificho, kwahiyo najua maumivu n mengi sana humu ndani.
 
kombe la cape verde
fainal cape verde vs morocco
Ebu nielezee hicho ulichokisema kinawezaje kutokea..
Screenshot_20240130-093416.jpg
 
View attachment 2887841
Ungeweka kama hivi halafu weka laki moya Mimi nasubiria Hawa wawili kesho hapo
Unadhani hata naelewa chochote basi.
Sijui chochote kuhusu betting na sina mpango wa kucheza kamari😁

Ila kwa ustawi wa afya za watu,Afcon siyo ya kubet kabisa kudadeq🙌
Kuanzia ile mechi ya misri sikuamini
 
Back
Top Bottom