2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mkuu nilifurahi sana!!
 
Kuna warembo humu walitoa mahaba yote kwa Senegal.
 
Hahaha hii ndo inaitwa mwana ukome...hatutaki mazoea Senego Senego wao ni kina nani kila mwaka wanyanyue kwapa...acheni na wengine waonje kombe linakuwaje...hatutaki mazoea...na leo hao Moroco wafurushwe...na hao Ivorycost pia waondolewe...tunataka damu mpya kwny kombe hili...
 
Yule Nyau amewaua Souz.
ila kayakanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…