United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
unafukua makaburi ivory coast habebi kombe hili mzee acha kujifariji mbona ata cape verde yupo robo fainaili nin asa cha ajabuTuone kama watatoboa robo fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafukua makaburi ivory coast habebi kombe hili mzee acha kujifariji mbona ata cape verde yupo robo fainaili nin asa cha ajabuTuone kama watatoboa robo fainali
haaaaa hamna toka juzi nilikua porini mim siwezi waogopa ivory coast kamweMwizi akishapata upenyo, mbio zake mbona Usain Bolt hafui dafu [emoji23][emoji23][emoji23]
haha mkuu umeamua kuniumbua hiviEbu nielezee hicho ulichokisema kinawezaje kutokea..View attachment 2888055
Mkuu nilifurahi sana!!Jana nilijua tu Senegal hawezi kutoboa kwa mpira ule aliokuwa anapigiwa, Ivory Coast walicheza kama vile wapo tayari kuifia team yao, wachezaji wote walisahau majina yao na wakacheza kama underdogs.
Na kama mechi zilizobaki zote watacheza kama jana, basi tutawakuta fainali.
Ni mimi na jamaa yangu uran ndio tulikuwa upande wa Ivory Coast bila kificho, kwahiyo najua maumivu n mengi sana humu ndani.
Kuna warembo humu walitoa mahaba yote kwa Senegal.Jana nilijua tu Senegal hawezi kutoboa kwa mpira ule aliokuwa anapigiwa, Ivory Coast walicheza kama vile wapo tayari kuifia team yao, wachezaji wote walisahau majina yao na wakacheza kama underdogs.
Na kama mechi zilizobaki zote watacheza kama jana, basi tutawakuta fainali.
Ni mimi na jamaa yangu uran ndio tulikuwa upande wa Ivory Coast bila kificho, kwahiyo najua maumivu n mengi sana humu ndani.
Natama sana Morocco afumuliweEbu nielezee hicho ulichokisema kinawezaje kutokea..View attachment 2888055
Tupunguze hasira ndugu yangu!!ivory coast habebi hili kombe wamenyumba sana
Pole mrembo...Yani kuna watu wakishadadia timu hizi za mashindano makubwa lazima ifungwe hahahhah toka kombe la dunia nawaona tuu... 😂 😂
Yule Nyau amewaua Souz.Hahaha hii ndo inaitwa mwana ukome...hatutaki mazoea Senego Senego wao ni kina nani kila mwaka wanyanyue kwapa...acheni na wengine waonje kombe linakuwaje...hatutaki mazoea...na leo hao Moroco wafurushwe...na hao Ivorycost pia waondolewe...tunataka damu mpya kwny kombe hili...
Morroco hachukui hili kombe.
BalaaaaYule Nyau amewaua Souz.
ila kayakanyaga.
Kwenye magoli yao mengi yeye ndiye mtoa asist mkubwaYaani siyo yule Mane wa Liverpool ninayemjua
ivory coast habebi kombe wew ni mtu wa mpira mim ata ukitaka tu beti njoo ila mzigo uwe mrefu ili ukinifweyka pochi yako itune na mim ni kuramba nijione mtuTupunguze hasira ndugu yangu!!
we inabidi siku ya fainali tukae baa moja Angola ndio bigwa wa hii michuanoKombe me nampa Angola
Bingwa mtetezi kwisha habari yake😂Aamin aamin Aamin
Wamepotelea wapi sasa?Kuna warembo humu walitoa mahaba yote kwa Senegal.
Njoo basi kwenye kamati ya ushindi CV tufanye kila liwezekanalo kombe liende CV kisiwani..tunataka damu mpya kwny kombe hili...