Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni kweliKwenye magoli yao mengi yeye ndiye mtoa asist mkubwa
Naangalia kwanza upepo..ila mwaka huu CV na Angola nawaona wakifika mbali... 😆Njoo basi kwenye kamati ya ushindi CV tufanye kila liwezekanalo kombe liende CV kisiwani
Don't say no mkuu😜
Kombe me nampa Angola
Mimi mechi za saa tano zimenishinda kabisa Beshte...Naangalia kwanza upepo..ila mwaka huu CV na Angola nawaona wakifika mbali... [emoji38]
Kwani hata mimi naziangalia beshte?? Hahaha hizo tuwaachie wenyewe..Mimi mechi za saa tano zimenishinda kabisa Beshte...
Hahahaaa.haha mkuu umeamua kuniumbua hivi
Nilimaanisha kuwa Ivory Coast kaponea chupu chupu kutoka hatua ya makundi, sasa alipopata nafasi ndio akakamia show.haaaaa hamna toka juzi nilikua porini mim siwezi waogopa ivory coast kamwe
Sijasema atabeba, bali nasema tusubiri kuona mwisho wake.unafukua makaburi ivory coast habebi kombe hili mzee acha kujifariji mbona ata cape verde yupo robo fainaili nin asa cha ajabu
Wewe ni jasiri sana 😂😂😂Kombe me nampa Angola
bwana wee nilijiropokea tu mkuu 😄Hahahaaa.
Uwe unapima kina cha maji kabla ya kudumbukiza mguu
Mpira dakika tisini
Wrong.!!Morocco 3
South Africa 0
Naitunza hii risitiNige
Nigeria kama Arsenal tu
SanaKesho napo ushangae Morocco na Sauzi watupeleke had matuta.
Itakua ukatili sana.
fa mchezo fimbo zilizochumwa jana na mashabiki wangelala wanaelea😂😂😂