Mpira dakika 90 ila hii Angola ya Fredy hapana hapa nawaza na camavinga angekubali kuchezea huko sijui ingekuwajeAnayefata kwny hii list kua surprised ni NIGERIA wakae mkao wa kula kbs.
Aya mataifa yaliyokua yanajiona untouchable ni wkt wao. Kufungasha virago.
SA Watapigwa na CVSOUTH AFRICA [emoji1221] VS [emoji1065] CAPE VERDE
Hii ndio Robo Fainali tamu tunaenda kuishuhudia.
Hapa naomba Ivory Coast aage kwanza tukae kwa kutuliaWa
Wamatumbi Watupu,
Hapo wanaopita ni Angola, DRC, Mali na Cape Verde
kwanza Hoteli yao wamekodi wanajeshi hatari afu walikataa Hoteli walioandaliwa na CAF nyauuuu wakubwa asa Hakim sjui anajiliza nin mbuzi mkubwa huyuMafala nilikua nawafatilia sana hata mitandao ya huko kwao Casablanca walijua hii shughuli imeisha.
Tena jana baada ya Senegal kutoka wakawa wanatamba kwmb wa kuweza angalau kutuzuia kdg katolewa.
Mpr ndo maana ni mchezo unapendwa dunian kote kwa sbb hautabiliki kirahis rahis sana.
Pasinge tosha mkuu ingekua aibu[emoji91][emoji1430]Mpira dakika 90 ila hii Angola ya Fredy hapana hapa nawaza na camavinga angekubali kuchezea huko sijui ingekuwaje
Hawa wapuuz kwa ufupi waondoke leo leo warud kwao.kwanza Hoteli yao wamekodi wanajeshi hatari afu walikataa Hoteli walioandaliwa na CAF nyauuuu wakubwa asa Hakim sjui anajiliza nin mbuzi mkubwa huyu
Semaa gemu tamu sana hiyo inaniuma kwa sababu nilisimama na super eagles tangu mwanzoπ€£π€£Pasinge tosha mkuu ingekua aibu[emoji91][emoji1430]
Tutaona hakuna mzembe hapo MkuuHapo wanaopita ni Angola, DRC, Mali na Cape Verde
Mungu Mkubwaa....Kbs waache ufala waache ufala kbs.
Game iishe ivi ivi.. Wakaze.
[emoji23] Aanha kumbe ww super eagles.. Mkuu shusha matumain yako tu.Semaa gemu tamu sana hiyo inaniuma kwa sababu nilisimama na super eagles tangu mwanzo[emoji1787][emoji1787]
Namuona Cape V.. anatinga fainali na kubeba kikombe...SOUTH AFRICA [emoji1221] VS [emoji1065] CAPE VERDE
Hii ndio Robo Fainali tamu tunaenda kuishuhudia.
Ubaya nikikimbilia Bafanabafana kuna Cape Verde yan ukisimama nchale ukikaa nchale[emoji23] Aanha kumbe ww super eagles.. Mkuu shusha matumain yako tu.
Nawaona kbs wakina Mabululu wanavowafungashia virago.