Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Mpira dakika 90 ila hii Angola ya Fredy hapana hapa nawaza na camavinga angekubali kuchezea huko sijui ingekuwajeAnayefata kwny hii list kua surprised ni NIGERIA wakae mkao wa kula kbs.
Aya mataifa yaliyokua yanajiona untouchable ni wkt wao. Kufungasha virago.