Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
MalΓ sio ya kumpiga Ivory Coast, rekebisha utabiri wako mkuuHapo wanaopita ni Angola, DRC, Mali na Cape Verde
Pitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?Hawa Warabu si walivo fika semi ya WC walisema wao sio waAfrica?.. Sasa kwnn wanalia lia kutoka AFCON?
Wao sio waAfrica ss wametuacha waBantu tupambanie kombe.. Wao si wana jeuri?.. Ss jeuri yao waende wakashindanie EURO au COPA AMERICA..wao si sio waAfrica?
πππ₯π₯
Punguza mastorieess..πππPitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?
Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.
Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.
π€£π€£Majamaa walikua na VAR yao kwenye ki laptop teh waarabu bana
Wenye mahaba na Senegal waliyeyuka mpaka sasa hawajulikani waliko πMorocco na Senegal eeh?
Hakuna wa kuwatoa, watabeba ndoo hao πKwa hapa tulipofikia sasa kombe abebe yoyote tu maan waarabu wote wametoka ila hawa Cape verde (waarabu uchwara) nao inabidi watoke.
Wameenda na maji ππWenye mahaba na Senegal waliyeyuka mpaka sasa hawajulikani waliko π
[emoji23][emoji23][emoji1430]Ubaya nikikimbilia Bafanabafana kuna Cape Verde yan ukisimama nchale ukikaa nchale
Ana stry nyng nimechagua kutokumjib tu.Punguza mastorieess..[emoji57][emoji57][emoji57]
Naunga mkono hojaHili kombe linaenda home Kinshasa bana kwetu batoto ya nzambe