MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Haya basi wamepataIlikuwa halali mkuu, mkono haukuwa kwenye eneo la kufuatwa na mpira, ila pale ulikokuwa ni mkono ulifuata mpira.
Ova
Baelezee baambieNaunga mkono hoja
Wacongo tunabeba
Hakuna wa kuwatoa, watabeba ndoo hao 😂
Yanga inabaguliwaKocha wa Burkina Faso ajilaumu mwenyewe, kwa huu muda alioingia Aziz Ki ameweka pressure kubwa na kosa kosa nyingi.
Mechi ya mwisho yeye ndio alikuwa kinara kwenye timu yao, sijui kwanini hakufikiria kumpa nafasi mapema.
Hata hivyo nipo Mali, yote ni kheri.
Hahahaaa! Roho mbaya itakuua, hayo maarabu yamekuzidi kila kituSafi sana South africa, maarabu yakaendelee na Maligi yao sasa
mtego huo...😂😂😂😂Sauzi wanakaa na mpira muda mwingi, huo ni uoga
Paka auawe!!!Paka anasemaje?
Nionaje Mimi namsaka Paka tu HAPA sielewi
Wacha weeeeee, mwarabu wa mwakizalo huyo.Pitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?
Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.
Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.
MABULULU anawasubiri huko😁Nigeria wanangu nilipenda mshinde hili kombe ila kwa mchezo wenu unanipa mashaka sana.
Huu Uzi lazma tucopy maana wabongo atuchelew ,😃Wacheza amapiano wametulipia kisasiView attachment 2889206
Swala la Wachezaji kutoka kucheza nje ya nchi imewapa maarifa wachezaji wengi unaona kabisa mpira unavyochezekaMupira wa Africa umekuwa sana
Huyu Paka asubiwe anaturudisha nyuma wajasiliamaliView attachment 2889257
This time alijikanyaga...
wao wakitolewa huwa hawana muda wa kusapoti nchi nyingine, tumetolewa Tz Lakini bado tunashabikia nchi nyingine sio waarabu, ukweli ni wabaguzi huna la kuwatetea huo ni ukweli mchungu watoke tuPitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?
Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.
Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.