mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Ndio shida ya huyu jamaa ila Mali hii game wasiposhinda nitawalaumu sanaFoffana yeye anaamini kila mpira ni wa kupiga shuti
Ndio shida ya huyu jamaa ila Mali hii game wasiposhinda nitawalaumu sanaFoffana yeye anaamini kila mpira ni wa kupiga shuti
Yaani atoke Auxerre aje Simba [emoji1787][emoji1787]Huyu SINAYOKO ni mtu hatari sana. SIMBA wamchukua huyu atawasaidia sana huko kimataifa tofauti na hawa kina jobe na fred
Kwamba DRC ni wabovu kwanini unatuchukulia poa sisi watoto wa Kinshasa ndenge Nini??Congo DRC nilitaka wakutane na Equatorial Guine!!
Nadhani ndio ungekuwa mwisho wao!
Hawa Guinea walikuwa wepesi,
Guinea bahati iliwaangukia kwa Equatorial Guine
Mbona Babacar Sarr alitoka Al Hillal ya Saudia ambapo alimkaba Ronaldo Akaja Simba?Yaani atoke Auxerre aje Simba [emoji1787][emoji1787]
Asili yake ni Nigeria since siku ya kwanza nawaona Luton niliwaambia wadau huyu jamaa striker na huu urefuElijah Anuoluwapo Oluwaferanmi Oluwatomi Oluwalana Ayomikulehin Adebayo
Ni mchezaji raia wa Uingereza anacheza Luton 🥲🥲🥲
Njoo tuangalie ivory coast wakitolewa leo.maana sjui kwanin had leo Bado wapoNaona Tanesco wamependa Niangalie 2nd Half, wamerudisha Moto hapa.
Acha majingambo, mmepewa hadi tuta mkakosa goli, huo ushindi mtaupatia wapi leo?Mliotudharau Mali mtatusalimia kwa heshima, subirini kipindi cha pili.
Game ya leo kali sana pitch kali hii asa ndio Africon ya kipind cha nyuma ubabe mwingi akili nyingi ukishinda mwenyewe unasema leo kweli nimetoka kaziniInapigwa game dume sana. Leo The Elephants wamejikwaa kiunoni
Game inavutia sana. Inanikumbusha ile fainali na Coted voire na EgyptGame ya leo kali sana pitch kali hii asa ndio Africon ya kipind cha nyuma ubabe mwingi akili nyingi ukishinda mwenyewe unasema leo kweli nimetoka kazini
Na bado sana Tanzania tunapenda mpira ila kiufupi hatuna vipaji kabisa afu ata.ao waliopo hawana mafunzo makubwa ya soka mfano wew muone Haller anaonekana hayupo kwenye pick yake ila Namna anavyo jipostion unaona kabisa uyu jamaa ana ujuzi mkubwa wa sokaHizi mechi za robo fainali nimeona tofauti kubwa sana na na timu yetu Taifa Stars. Aisee timu bado sana