2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Congo DRC nilitaka wakutane na Equatorial Guine!!

Nadhani ndio ungekuwa mwisho wao!

Hawa Guinea walikuwa wepesi,

Guinea bahati iliwaangukia kwa Equatorial Guine
Kwamba DRC ni wabovu kwanini unatuchukulia poa sisi watoto wa Kinshasa ndenge Nini??
 
Kocha wa ivory coast ni. wa ajabu sana yey anajua kabisa timu yake ina Tatizo la kuvuja kuazia kati ila kamuacha nje Ibrahim.wakat angesaidiana na seri Kessie na Fofana wanatembea sana wanaacha gape kubwa katikati jamaa nyekundu yake haijatokea kwa bahati mbaya
 
Elijah Anuoluwapo Oluwaferanmi Oluwatomi Oluwalana Ayomikulehin Adebayo
Ni mchezaji raia wa Uingereza anacheza Luton 🥲🥲🥲
Asili yake ni Nigeria since siku ya kwanza nawaona Luton niliwaambia wadau huyu jamaa striker na huu urefu

2 games 4 Goals🔥
 
Hizi mechi za robo fainali nimeona tofauti kubwa sana na na timu yetu Taifa Stars. Aisee timu bado sana
Na bado sana Tanzania tunapenda mpira ila kiufupi hatuna vipaji kabisa afu ata.ao waliopo hawana mafunzo makubwa ya soka mfano wew muone Haller anaonekana hayupo kwenye pick yake ila Namna anavyo jipostion unaona kabisa uyu jamaa ana ujuzi mkubwa wa soka
 
Back
Top Bottom