United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mdada usijali tunatoboaMungu wangu! Tulisema lakini
Option yangu pendwa hyoπWazee wa mkeka wanacheka tu GG[emoji28]
AmenMdada usijali tunatoboa
Watalia zaid wakiliwa Xtra tymMali wamelia na muda badoπ€ π€ π€
Yeah AzamNi Azam Tv si ndio?
Ila ugolikipa ni zoezii doh akipiga kushoto kipa ukadondoka akataka kupiga kulia unatakiwa uwe ushanyanyuka ππππHarafu Mabeki wamemchomesha
Bora mfungwe tuMali ikishinda Yanga imeshinda [emoji1433][emoji1433]
Wapo hadi wa 2012.. Max GradelIvory Coast hakuna timu hapo imejaa wazee.Watu walikuwepo Afcon 2015 eti wanacheza Leo [emoji16][emoji16]
Sasa wapaki basi au wajilipue
Natamani Mali Wapigwe doleToka pimbi ww
Walivyoyatoa wameweka Vijana ndio imewalipaWapo hadi wa 2012.. Max Gradel
Yeah Azam