United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
uyu mtoto wa brighton ata mechi ya Senegal Ndio alibadilisha upepo na Leo Tena kaingia tu kabadili upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada usijali tunatoboaMungu wangu! Tulisema lakini
Option yangu pendwa hyo😃Wazee wa mkeka wanacheka tu GG[emoji28]
AmenMdada usijali tunatoboa
Watalia zaid wakiliwa Xtra tymMali wamelia na muda bado🤠🤠🤠
Yeah AzamNi Azam Tv si ndio?
Ila ugolikipa ni zoezii doh akipiga kushoto kipa ukadondoka akataka kupiga kulia unatakiwa uwe ushanyanyuka 🙌🙌🙌🙌Harafu Mabeki wamemchomesha
Bora mfungwe tuMali ikishinda Yanga imeshinda [emoji1433][emoji1433]
Wapo hadi wa 2012.. Max GradelIvory Coast hakuna timu hapo imejaa wazee.Watu walikuwepo Afcon 2015 eti wanacheza Leo [emoji16][emoji16]
Sasa wapaki basi au wajilipue
Natamani Mali Wapigwe doleToka pimbi ww
Walivyoyatoa wameweka Vijana ndio imewalipaWapo hadi wa 2012.. Max Gradel
Yeah Azam