2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ndg zng nilikua chimbo nimekuja Ona game mwshn.

Lkn nachoweza kusema hakuna watu wajinga kama Mali.

Kiukwl kama ni Bahat bas Ivory cost Wana bahat[emoji1487].. Na Hawa wajinga wasipo waangalia wakafika final watabeba kimasihara hata kwa kubebwa.
Hakuna mahali Ivory coast anabebwa stop that.

Hii mechi kapewa red cards mbili pamoja na Penalty kwa Mali
 
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa

Asante ivory coast kwa kunitolea hii timu nisiyowahi kuiukbali

Mali na senegal sijawahi kuzikubali hata kidogo na

Timu za kiarabu naikubali Egypt tu
Siku hizi nashangila under dog tu,,
Huwa nafurai kuona vigogo vikichomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…