reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Anataka za kwetu ndo nzuri tumsimulieMkuu una bando,unashindwa hata kuingia livescore [emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka za kwetu ndo nzuri tumsimulieMkuu una bando,unashindwa hata kuingia livescore [emoji848][emoji848]
Kwani kuna timu huwa haiwazi nje ya box?Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa bahati
Mpira ni mipango kuwaza nje ya box dhid ya mpinzan wako
Hakuna kitu kuhusu bahat
120180 hiii apa 😂
Anamla mtu,mapema kabisa ndani ya dakika 90
Nabeti Bingwa anatoka kati ya hizi timu:
-Morocco [emoji777]
-Ghana [emoji777]
-Senegal[emoji777]
-Nigeria--Still alive
-Ivory Coast -- Still alive
-Egypt[emoji777]
-Algeria[emoji777]
Hakuna mahali Ivory coast anabebwa stop that.Ndg zng nilikua chimbo nimekuja Ona game mwshn.
Lkn nachoweza kusema hakuna watu wajinga kama Mali.
Kiukwl kama ni Bahat bas Ivory cost Wana bahat[emoji1487].. Na Hawa wajinga wasipo waangalia wakafika final watabeba kimasihara hata kwa kubebwa.
Kuna tofauti ya golikipa na mlinda mlango, Diarra ni mlinda mlango hata hapo walipofka robo mali washukuru sanaDiara ni mlinda mlango ila sio mzuiaji magoli yasiingie, yaani hana save hata moja ya maana.
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa
Siku hizi nashangila under dog tu,,Asante ivory coast kwa kunitolea hii timu nisiyowahi kuiukbali
Mali na senegal sijawahi kuzikubali hata kidogo na
Timu za kiarabu naikubali Egypt tu
Mpira dakika 90SA sio wa kumfunga CPV v
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivory coast habebi hili kombe wamenyumba sana
Shida ni uchumi wa waafrika na miundombinu ya kutunganisha ipo chiniUwanja mweupe hakuna watu
Na kafunga Clear goals kabisa hakuna la kusema labda Nibebe.Hakuna mahali Ivory coast anabebwa stop that.
Hii mechi kapewa red cards mbili pamoja na Penalty kwa Mali
Kama dakika zimeisha afanyeje?Ila refa nae mizinguo sana. Unamalizaje mpira pale.
Sio akl za kijinga mkuu, moment kama Ile si rahs kujitambua .Diakite kavua shirt huku akiwa na yellow, akiki za kijinga sana
Japo mnashambulia sana ila hamtoboiNgoja tuone