KakamiwaPecy Tau ni mpira umeisha au?
Inakamiwa game zote?Kakamiwa
😁😂🤣Inakamiwa game zote?
Furaha ilipitiliza akajisahau.Diakite kavua shirt huku akiwa na yellow, akiki za kijinga sana
🤣🤣Japo mnashambulia sana ila hamtoboi
Kweli mkuuShida ni uchumi wa waafrika na miundombinu ya kutunganisha ipo chini
Hawana tofauti na Kizimkazi StarsUnakosa penati
Mpinzani anapata red card
Unatawala mchezo muda wote
Mali takataka 🚮🚮
Tangu aanze kunyoa upara ni kama na boli limepoteaPecy Tau ni mpira umeisha au?
Hizi game zingepigwa Tz viwanja vingejaa mechi zote. Nafikiri mahaba ya soka na uchanga wa soka letu yanachangia.
Cot D'voire wana wachezaji wakubwa wanacheza nje hawana mwamko wa kuangalia majina makubwa ya timu nyingine.
S.Agrica wataingizwa kama Mali ya Yanga maana wanapaka paka Mafuta sana kama wajinga wa Mali.Wewe akili za mpira uzitoe wapi
Nenda mwanakwereke uko ukasimamie ujenzi wa hotel ya samia
Naunga mkono hojaHawana tofauti na Kizimkazi Stars
Sio kila siku ijumaa🤣🤣Mokoena anapiga ndani hii