uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Hatari rollcall haimpitiHuyu mama 🔥
Tupe sifa zake tusiomjua.Nilisoma comment ya mdau humu anasema Victor ousmhen hajui mpira
Jamani tuheshimu carrier za watu
.huyu dogo amepambana sana kufika alipofika ingekuwa michezaji ya kitanzania ingesharudi bongo kitambo
Victor ousmhen alijiunga na napoli kwa dau la karibu [emoji387] million 70
Wote tunajua humu seria A sio ligi inayospend pesa nyingi ila napoli kwa dogo walifunguka wallet
Dogo ana kila kitu cha kumfanya awe mshambuliaji bora duniani
Sasa anatokea mtu kiurahisi tu anasema Victor ousmhen hajui mpira
Pisi haswa [emoji119]Sema tuache utani cape verde **** pisi
Cameraman anatupatia[emoji1][emoji1]
Hawajitumi wanacheza kistar huoni wakiwa na mpira wanakimbia kisharoNaona kama Afrika Kusini kifurushi chao kimeanza kufikia mwisho. Wamepoa sana kwenye hatua hii, labda imewazidi ukubwa sijui.
Ova
Kaonekana gemu nyingi sanaHatari rollcall haimpiti
Cape Verde wanayo moja. Alipewa Captain wao Mendes ambaye yupo nje sasa kwa subSijaona Kadi mpaka muda huu
South wanajua kukaba..Ila kuna Msako wa hatari unatembea hapa