Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Macmuga by alikiba🤣😂😁Iv Mungu atupe nini sisi south
Tujichange twende tu hakuna namnawana mademu wakali kinoma ase
Kumbe na wewe uliona 🤣Aliyepigwa ni Mudau nadhani
Kabisa unapata na homa kabisaeti mwili unasisimka😀
kwani wanazungumza lugha gani hao watu jombiiTujichange twende tu hakuna namna
Mudau msimu ujao Burnley anaendaKumbe na wewe uliona 🤣
Kireno Mkuukwani wanazungumza lugha gani hao watu jombii
Nafasi nzuri 3 kakosa zote Bora hata bocco bwana 😛😛Huyu no 9 hamna kazi aisee😂🤣😁
Hamtoboi leo mkuuTeam cape Verde TUJUANE TAFADHALI[emoji4]
pagumu hapoKireno Mkuu
Kwa mpira huu wa France ya Africa Hao South wanakaa vizuri sanaHamtoboi leo mkuu
Naunga mkono hoja 🤣Kuna mdau alisema ukitoka usingizini ukiwaangalia cape verde unaweza jua France
Nimeamini maana wanachokifanya hapa walifanya France siku ya World cup🤣
Kosa ya kolo muniani nimeiona kabisa
DK 15 za mwanzo walikuwa wanafika kwenye boksi ila hawapigi mashuti saizi wameacha kile kimpira chao cha kitotoGame ngumu hii inahitaji akili, wakifunguka hovyo wanakufa. Si unawaona Verde?
Ile mashabiki walimuita nyani ile kisa alivyokosa pale😁😂🤣Kuna mdau alisema ukitoka usingizini ukiwaangalia cape verde unaweza jua France
Nimeamini maana wanachokifanya hapa walifanya France siku ya World cup🤣
Kosa ya kolo muniani nimeiona kabisa