Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ndo namshangaa ww mtu kafika jana alikua kwny safar ndef ya ndege kwnn leo aanze wkt kuna watu washafanyia kaz game plan.LAbda game zijazo atacheza maana niliona post inasema cameroon na man utd zilikubaliana kua akimaliza game na tottenham ndo atasepa.
Ngoja tuone , ila hii ya leo kutokuwepo kwenye game lilikua jambo la wazi sijui jamaa alitaka kusemaje[emoji1787]
Basi wako vzr sana ukiangalia nchi yao ina idadi ndogo sana ya watu takribani laki 5. Wanaubonda haswa[emoji23]Watu wanachukulia kauli yako kama masihara lkn ukweli ni kwamba Kikosi chote ha Cape Verde hakuna hata m1 anacheza team ta Africa wote wanacheza ulaya kweli.
Kwhy iyo inaweza kua sababu kwnn soka lao wanalitandaza kwa umaridadi mkubwa.
Kbs izi team ndg sio za kubeza hata kdg.Basi wako vzr sana ukiangalia nchi yao ina idadi ndogo sana ya watu takribani laki 5. Wanaubonda haswa
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alizingua sana yule walikuwa wanaondoka na ushindi maarufu sanaKbs izi team ndg sio za kubeza hata kdg.
Zitashangaza sana hawa wakubwa.. Jana Egypt ashukuru tu yule boya wa Msumbiji kwenda kuruka ruka ovyo nao walikua wanalala game ya jana.
Yan boya sana yule fala kaeda kuruka ruka ovyo tu wkt unajua kbs wa Misri ukimgusa kdg tu lzm awe chin anatafuta tuta.[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alizingua sana yule walikuwa wanaondoka na ushindi maarufu sana
Timu zangu leo wanakula red card tu 🥹Duh captain kapewa red card
Unajua kuna kitu watu hawaelewi.Mpaka sasa sijaona timu inayocheza mpira wa kueleweka kama cape verde. Wanacheza mpira wa kiulaya kabisa
Yanii ni HatariTimu zangu leo wanakula red card tu 🥹
Sawa sawa. Je hii inaleta picha gani kwa maendeleo ya wachezaji wa ligi za ndani?Unajua kuna kitu watu hawaelewi.
Safari hii team nyingi sana zimekuja na wachezaji wanaocheza nchi za nje. Mataifa mengi yamefanya kama ilichokifanya Tz kuwaita wachezaji wao waliokulia nje ila hawajapata nafasi za kuitwa mataifa ya huko, tofauti ni kwamba wenzetu wamefanikiwa kwa kupata wachezaji wa aina hiyo wenye viwango kuliko sisi.
Leo nimefuatilia team ndogo ambazo zimeshacheza (Guinea zote, Msumbiji, Gambia) ,wachezaji wote ni wa nje na wengi wao hawajaanzia mpira kwenye mataifa yao.
Ni kama mashikisho mengi ya mpira kwa Africa yameshtuka na kuacha kutegemea kuzalisha wachezaji kutoka ligi zao za ndani.
Game ya tanzania naisubiri sana, tuone kazi kazi au kidumu chama cha mapinduzi🤣Unajua kuna kitu watu hawaelewi.
Safari hii team nyingi sana zimekuja na wachezaji wanaocheza nchi za nje. Mataifa mengi yamefanya kama ilichokifanya Tz kuwaita wachezaji wao waliokulia nje ila hawajapata nafasi za kuitwa mataifa ya huko, tofauti ni kwamba wenzetu wamefanikiwa kwa kupata wachezaji wa aina hiyo wenye viwango kuliko sisi.
Leo nimefuatilia team ndogo ambazo zimeshacheza (Guinea zote, Msumbiji, Gambia) ,wachezaji wote ni wa nje na wengi wao hawajaanzia mpira kwenye mataifa yao.
Ni kama mashikisho mengi ya mpira kwa Africa yameshtuka na kuacha kutegemea kuzalisha wachezaji kutoka ligi zao za ndani.
Refa waajabu sana ile sio red cardYanii ni Hatari
mkuu ngapi ngapi?ila cameron wanacheza mapira ya kizamani sana mda wote wanatuumia minguvu tu anguissa apo katika kuna dogo yupo anampelekesha kweli kweli