2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wanaoichukulia poa dr congo hawatoamini macho yao, hii sio ile dr congo ya kocha ibenge na mwinyi zahera ambao walikuwa hawawaiti mapro wanaokipiga ulaya, ibenge alikuwa anaita karibu timu nzima ya taifa wachezaji wanatoka as vita, tp mazembe....hii dr congo ya sasa inawachezaji watatu wanaocheza africa wengine wote wanacheza ulaya....hao ivory coast inshaALLAH tutajipigia tu goli 2 kwa nunge,wachumba tu hao!
 
hao congo hawana maajabu yeyote wamepangwa na vitimu yva hovyo hovyo angalia mlia aliyopitia IVORY COAST au NIGERIA halafu useme wewe mwenyewe maana wanasimba mnamatatizo ya delusion of grandeaur
 
mpira ni mchezo wa wazi wote tuliona, hakukuwa na ufundi wowote zaidi yakucheza kwa kuogopana na kuviziana!
kucheza kwenye Counter ni moja ya football techinique Na asilimia 75 ya Timu zilizoshiriki kwenye Africon msimu huu nyingi zilikua zinacheza kwenye Counter Ivory coast kwa asilimia kubwa Ndio alikua anacheza direct ball possession
 
NUSU FAINALI ZA AFCON
.
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ NIGERIA ๐Ÿ†š๏ธ SOUTH AFRICA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
โฐ 20:00
๐ŸŸ Stade de la Paix
.
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ IVORY COAST ๐Ÿ†š๏ธ DR CONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
โฐ 23:00
๐ŸŸ Stade Olympique Alassane Ouatarra


Kila la heri bafana bafana na Congo, ivory coast leo bahati itamsaliti.
 
Congo habebi hili kombe acheni kuota safari yao leo imeiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ